Radio Taifa

Serikali kutambua wauguzi kupitia tuzo za Beyond Zero Health Awards

Serikali imezindua mpango wa kuwatambua wauguzi wanaohudumu katika vituo vya afya ya umma kupitia tuzo za Beyond Zero Health Awards, zitakazofanyika mwezi Septemba mwaka huu.

Hayo ni katika mahojiano kati ya Bonnie Musambi na mshirikishi wa Beyond Zero Health Awards Bi. Angella Langat na mwenzake Walter Kiptiring.

Beyond Zero Health Awards zinalenga wauguzi wenye bidii katika vituo vyote vya afya ya umma kuanzia level 2 hadi 5 nchini.

Unaweza ukashiriki katika tuzo za Beyond Zero Health Awards kama muuguzi binafsi au kama kundi la wauguzi. tembelea tovuti www.summit.beyondzero.or.ke kisha chagua application portal ili kujisajili.

Sikiliza Mahojiano hapa chini:

Related posts

Shirikisho la FIDAKe lawataka wanawake kujitokeza kupigania nafasi za uongozi

John Madanji

Matukio Ya Taifa; Sekta ya Kibinafsi kupeana chanjo ya COVID-19

Minto FM Podcaster 2

Radio Taifa: Watu zaidi ya 1,000 wameaga kutokana na Covid-19. Kenya ifanye nini?

English Service Podcaster

Leave a Comment