Radio Taifa

Siku ya Kimataifa ya Vyama vya Ushirika

Siku ya Kimataifa ya Vyama vya Ushirika ni maadhimisho ya kila mwaka, kila Jumamosi ya kwanza ya Julai tangu mwaka wa 1923, inayoadhimishwa na Muungano wa Ushirika wa kimataifa. Mashirika kote ulimwenguni yataonyesha jinsi wanavyokabiliana na janga la COVID-19, kwa mshikamano na uthabiti, na kuipa jamii suluhu kwa kuzingatia mazingira.

Dickson Okungu Mkurugenzi Mtendaji wa Hazina Sacco Society Limited.

Bwana Dickson Okungu Mkurugenzi Mtendaji wa Hazina Sacco Society Limited, anatueleza wahusika wakuu wa siku hii.

Mheshimiwa John Munuve Mwenyekiti wa Mamlaka ya Udhibiti wa Vyama vya Sacco (SASRA) azungumzia umuhimu wa kuadhimisha siku hii.

 

Related posts

Radio Taifa: Serikali Iwasaidie Kifedha Wanariadha Wakati Huu wa Corona Asema Bingwa wa Dunia Hellen Obiri

English Service Podcaster

MATUKIO YA TAIFA; Jukumu la Vyombo vya habari katika kukomesha mimba za mapema.

Minto FM Podcaster 2

Radio Taifa: Makala ya matukio muhimu mwaka huu wa 2020

English Service Podcaster

Leave a Comment