Newest Episode Pwani FM

Tandaza akiri kutia sahihi hoja ya kumutimuwa Macharia.

Mbunge wa Matuga Kassim Tandaza amefichua kuwa alitia sahihi hoja ya kumutimua waziri wa Uchukuzi James Macharia. Asema amesikitika sana na hatua ya wabunge wa Pwani kukosa kushirikiana kupinga agizo la waziri huyo la kusafirisha mizigo kwa njia ya SGR.
Akihojiwa na Dalila Athman kwenye kipindi cha Uchambuzi na Swala Nyeti anaelezea kuwa wangemsukuma Macharia andike arafa kuwa amegeuza amri yake ya awali ya kutaka mizigo yote kutoka bandari ya Mombasa kusafirisha kutumia SGR hadi Naivasha
Alikiri kuwa walikutana na waziri huyo aliyewahakikishia kwamba amebadilisha msimamo wake. Aidha amelaumu mgawanyiko wa wabunge hao hata uliosababisha kushindwa kukutana na kumchagua mwenyekiti wa wabunge wa wapwani baada ya mwenyekiti wao Suleiman Dori aliyekuwa mbunge wa Msambweni kufariki

Related posts

Mayienga FM: Ochilo Ayacko ka wuoyo ewi midhusi mar Covid-19 kod pii oula e county ma Migori

English Service Podcaster

Mayienga FM: Duol Mar Mayienga: Dr Francis Odawa

English Service Podcaster

Pwani FM: Askofu Kivuva awatakia heri njema za Ramadhan waumini wa dini ya Kiislamu

Eric Munene

Leave a Comment