Pwani FM Uncategorized

Tekashi: Justin Bieber na Arina Grande walinunua nafasi ya kwanza kwa chat za billboard

Rapper wa marekani 6ix9ine amedai kuwa ariana Grande na Justine Beieber walilipia wimbo wao wa STUCK WITH U kuwa nafasi ya kwanza kwenye chat za billboard top 100.

 6ix9ine amedai uchunguzi wake ulibania wawli hao walitumia cadi 6 za benki kushughulikia swala hilo na kusistiza kuwa Billboard walikata kumweleza wamiliki wa cadi hizo zilizo tumika.

Aidha Rapper huyo amedai kuwa wimbo wake wa codoba uliotoka wiki jana ulipata stream nyingi ukilinganishwa na wimbo wa Justine bieber na Ariana ambayo unaoorodheshwa kwanza wiki hii.

Kwa mjibu wa Bill board” wimbo wa stuck with you ulipata sreams million 28.6 na ilisikzwa na mashabiki million 26.3 kwenye radio huku ikinunuliwa mara  108,000.

 Huku wimbo wa 6ix9ine uliokuwa katika nafasi ya tatu ukipata streams million 55.3 na kwenye radio ikifikia mashabiki 172,000 na ikanunuliwa mara 24,000.

Related posts

Pwani Jioni: Jamii ya wamaasai yataka msaada Taita

Eric Munene

Makala: Hofu Ya Wanawake Kuchanjwa Chanjo Ya Korona

Ken Wekesa

Come uone

Mwatu FM

Leave a Comment