Insert……KAGWE ON FIRST CASE
Ni kauli yake waziri wa afya Mutahi Kagwe alipotangaza kupatikana kwa kisa cha kwanza cha korona ambacho kiliripotiwa humu nchini tarehe 12 Machi mwaka wa 2020.
Insert ….UHURU on testing
Mchakato wa kuwapima watu kubaini iwapo wana virusi vya korona ulitatizika pakubwa kutokana na uchache wa vifaa vya kupima korona na pia ingemgharimu mkenya shilingi elfu mbili huku ikimchukua mkenya kusubiri takriban juma moja ili kufahamu hali yake ya korona kwani vipimo vilihitajika kufanyiwa uchunguzi zaidi nchini Afrika Kusini kabla ya kurudishwahumu nchini.Daktari Edward Makini anaelezea zaidi.
Insert…DAKTARI MAKINI ON KUPIMA
Lakini habari njema ni kwamba, wasichana wawili wa shule ya upili ya St. Thomas iliyoko kaunti ya Kilifi walivumbua mashini maalum inayojulikana kama “Rapid Covix Breathalyzer” ambayo inahitaji pumzi yako tu ili kupima virusi vya Korona na matokeo kutolewa papo hapo yakitumwa moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi kupitia programu ya simu.Daktari Makini hiki kinaweza kubainisha kwa haraka maradhi.
By: Clavery Khonde