Radio Taifa

Wananchi wafaa kuongeza juhudi dhidi ya Covid-19

Makanisa, misikiti na maeneo yote ya kuabudu kwa jumla yanafaa kuongeza juhudi dhidi ya Covid-19.

Hayo yamejitokeza leo ,Jumatano tarehe 22 July 2021, katika majadaliano katika kipindi cha #ZingaKBC, kati ya Cynthia Anyango na waakilishi wa kamati ya kidini dhidi ya janga la Corona almaarufu Inter-faith Council. Mjadala ulidhaminiwa na National Multi-Agency Command Centre.

Related posts

Yaliyotukia: Usalama wa uendeshaji wa Pikipiki

English Service Podcaster

Radio Taifa: Mahojiano na Rais Uhuru Kenyatta kuhusu Covid-19

English Service Podcaster

Radio Taifa: Watu zaidi ya 1,000 wameaga kutokana na Covid-19. Kenya ifanye nini?

English Service Podcaster

Leave a Comment