Radio Taifa

#Yaliyotukia: Je, Vijana wanafahamu hatari ya Virusi vya HIV na Ukimwi?

Tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza cha ukimwi  hapa nchini , bado vurusi hivi  ni tisho kwa jamii hasa vijana na wataalamu wanasema virusi hivyo  ndio chanzo kikuu cha vifo miongoni mwa vijana.

Je, vijana wanafahamau hatari iliyopo?  Huku siku ya Ukimwi duniani ikiadhimishwa tarehe mosi December,  mwanahabari wetu Bernard Maranga  anaangazia virusi vya HIV miongoni mwa vijana na jinsi ya kukabiliana navyo.

Sikiliza #Yaliyotukia: Vijana na virusi vya HIV/AIDS

 

Related posts

Matukio Ya Taifa; Wakenya wafurahishwa na uteuzi wa Askofu mkuu Philip Anyolo kusimamia dayosisi ya Nairobi.

Minto FM Podcaster 2

Radio Taifa: Siku ya Kifua kikuu Duniani

English Service Podcaster

Yaliyotukia: Je, Sektaya Bodada imesaidia vipi uhifadhi wa mazingira?

English Service Podcaster

Leave a Comment