Radio Taifa

#YaliyotukiaKBC: Juhudi za kuurejesha msitu wa Chepalungu zashika kasi

Msitu wa Chepalungu ulikuwa nguzo muhimu katika uchumi wa wakazi wa eneo la Chepalungu, kaunti ya Bomet, na majirani wao.

Hata hivyo, kutokana na athari za mgogoro wa kisiasa mwana wa 2007/2008, wakazi walivamia msitu huo na kukata miti kiholea.

Katika makala yafywatayo mwanahabari wetu Bernad Maranga, aliye mtayarishi na msimulizi, anaelezea juhudi zinazowekwa kuurejesha msitu huo katika hadhi yake ya hapo awali.

#YaliyotukiaKBC: Juhudi zinazowekwa kuuhifadhi msitu wa Chepalungu

 

Related posts

Radio Taifa: Kitisho cha virusi vya HIV Magharibi mwa Kenya

English Service Podcaster

Wananchi wafaa kuongeza juhudi dhidi ya Covid-19

John Madanji

“Unafiki wa leo” Mahuburi na Askofu Mkuu Anthony Muheria.

Minto FM

Leave a Comment