Tume ya maadili na vita dhidi ya ufisadi, EACC, imetoa wito kwa wananchi kushirkiana na tume hiyo katika vita dhidi ya ufisadi.
Meneja wa mawasiliano katika tume ya EACC, Philip Kagushi na Rev. Elias Otieno Agola kutoka baraza la kidini, dhidi ya ufisadi; Wanazungumza na mwanahabari wetu Bonnie Musambi katika mahojiano yafwatayo.
SIKILIZA #ZingaKBC #GumzoPevu: EACC yataka umma kuimarisha vita dhidi ya Ufisadi.