#KurunziYaPwani

Mkoa wa Katavi kusini Magharibi mwa Tanzania , umeanzisha bucha maalumu ya kuuza nyama pori, biashara ambayo ni adimu katika maeneo yaliyo mengi nchini Tanzania na ukanda wa Afrika.

Mkoa huo unahifadhi ya taifa iliyobeba jina la mkoa yaani Katavi,ambamo kuna wanyama pori aina mbali mbali.

Haya yamethibitishwa na Mkuu wa mkoa wa Katavi Juma Homera.

  

Latest posts

Serikali ya kaunti ya Kilifi yatenga asilimia 15 ya bajeti kwa maendeleo

Joshua Chome

Kalonzo Aikosoa Serikali

Clavery Khonde

Rais Ruto Ateua Jopokazi Litakalo Tathmini Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi