APBET Yaishauri Serikali Kutumia Hekima Kwenye Kesi za Mihadarati Shuleni

Katibu mkuu wa shule za mabanda nchini almaarufu Alternative Provision for Basic Education and Training APBET Juma Athuman Lubambo  ameitaka serikali kukoma kutumia nguvu wakati inapofanya tathmini ya wanafunzi wanaotumia mihadarati na badala yake kuhusisha wazazi katika kutekeleza zoezi hilo.

Also Read
Wakulima wapata mafunzo ya ukulima bora Kwale kupitia shirika la KEPHIS

Katibu huyo amesema kuwa wao kama washikadau wa elimu watahakikisha kuwa wanashinikiza serikali kutoa raslimali kusaidia wanafunzi kukabili jinamizi hilo.

Also Read
Besigye akataa kugombea urais Uganda

Aidha Lubambo ametaja kuweko na pengo kubwa katika mtaala mpya huku akidai kuwa vigumu kwa wazazi hasa wanaoishi katika mitaa ya mabanda kuchangia katika masuala ya elimu za watoto wao.

Also Read
Tuko imara kukabiliana na corona mpakani asema Gavana wa Kwale Salim Mvurya

Hata hivyo amesema kuwa ni jukumu la serikali kuja na mbinu mbadala kuona kuwa wazazi katika mitaa ya mabanda wanachukua majukumu yao katika utekelezaji wa mtaala mpya wa CBC.

  

Latest posts

Uteuzi Wa Karua Wapongezwa Na Wanawake

Clavery Khonde

Raila Amteua Martha Karua Kama Mgombea Mwenza Wake

Clavery Khonde

Wapwani Wahimizwa Kuunga Mkono Cha Cha PAA

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi