Asilimia 80 Ya Wakaazi Wa Kilifi Hawaonyeshi Dalili Za Korona

Idara ya afya kaunti  ya Kilifi inasema asilimia 80 ya watu kaunti ya Kilifi hawaonyeshi dalili za kuambukizwa na ugonjwa wa Corona.

Kwa mujibu wa afisa wa afya ya umma na mshirikishi wa ugonjwa wa korona kaunti ya Kilifi Erick Maitha ,asilimia 20 ya watu ndio ambao wanaonyesha dalili ya maambukizi hayo.

Also Read
Wakaazi Wa Kilifi Wahimizwa Kuchukua Huduma Namba
Also Read
Serikali Na IGAD Kushirikiana Kukabiliana Na Ukame Asema Waziri Wamalwa

Akizungumza afisini mwake mjini Kilifi ,Maitha amesema watu wengi wanaambukizwa ugonjwa huo lakini hawana ufahamu akiwahimiza  kujitokeza na kupimwa vurusi hivyo.

Aidha Maitha amesema idadi kubwa ya watu kaunti ya Kilifi hawafuati maagizo ambayo yaliwekwa na wizara ya afya hali ambayo amesema inachangia pakubwa kuongezeka kwa virusi hivyo.

Also Read
Wakaazi Wa Kilifi Wawataka Viongozi Kutoingiza Siasa Kwenye Juhudi Za Kufufua Kiwanda Cha Korosho

 

  

Latest posts

ODM Yamteua Mohammed Hamid Kama Mwenyekiti Wa Tawi la Mombasa

Ruth Masita

Wafanyabiashara wa Kanda ya Afrika Mashariki Walalamikia Kupanda kwa Bei ya Mafuta Nchini

Ruth Masita

ECOWAS yaweka vikwazo Guinea

Tima Kisasa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi