Baadhi Ya Wazazi Walalamikia Ukosefu Wa Karo

Agizo la waziri wa elimu nchini George Magoha la watoto kurudi shule ifikapo Jumatatu limeanza kuzua tumbo joto kwa baadhi ya wazazi na wadau wa elimu humu nchini.

Also Read
Wabunge wapwani watakiwa kukomesha malumbano nje ya bunge.

Akiongea na wanahabari msemaji wa Rabai People Forum Said Charo amesema kuwa hatua hiyo inakinzana na usemi wa Rais aliosema kwamba huu sio wakati wa kucheza na maisha ya watoto.

Also Read
Matokeo Ya KCPE Kutolewa Mwezi Huu Asema Prof Magoha

Msemaji huyo ameongeza kusema kuwa hadi kufikia sasa hakuna mikakati na hatua muhimu za kuwezesha watoto kurudi shuleni.

Also Read
Mfanyakazi Wa Meli Afariki Bandarini Mombasa

Aidha charo amesema kuwa shule za mashinani bado hakujawa na mipangilio bora ya kujikinga na msambao wa Covid-19 ikizingatiwa kwamba shule nyingi hazina maji.

  

Latest posts

Nadal Atinga Nusu Fainali Ya Michuano Ya Wimbledon

Clavery Khonde

Raheem Sterling Akubali Kujiunga Na Chelsea

Clavery Khonde

Waziri Chelagui Awahimiza Vijana Kujiunga Na Vyuo Vya Kiufundi

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi