Balozi Luke Williams: Australia Inashirikiana na Kenya Kumaliza Mashambulizi ya Kigaidi.

Balozi wa Australia nchini Kenya Luke Williams ameeleza kuwa njia mwafaka ya kukabiliana na mafunzo ya itikadi kali miongoni mwa vijana humu nchini ni kuwainua kiuchumi kupitia kuimarisha sekta za kibinafsi.

Also Read
Kenya Yaungana Na Mataifa Mengine Kusherehekea Siku Ya TB Ulimwenguni

Kwenye mahojiano ya kipekee na meza yetu ya habari balozi Williams amesema kuwa hatua hiyo itawawezesha vijana kupata ajira sawa na kujiajiri wenyewe hivyo kupunguza kiwango cha umaskini humu nchini.

Also Read
Mahakama Kuu Mombasa Yatoa Amri Ya Kufukuliwa Kwa Mwili Wa Anverali Nazerail
Balozi wa Australia nchini Kenya Luke Williams akihojiwa na mwanahabari Dalila Athman kwenye chumba cha habari cha Pwani Fm mjini Mombasa.

Kufuatia hilo ameeleza kuwa taifa la Australia linashirikiana na Kenya kuhakikisha kuwa wanaweka mikakati dhabiti ili kuhakikisha swala la kutokea kwa mashambulizi ya kigaidi linazikwa katika kaburi la sahau.

Also Read
Ujerumani ya ungana na Norway na Uholanzi kupiga ukiukaji wa haki za binadamu Qatar

Pia amedokeza kuwa sanaa ya muziki imekuwa njia mwafaka pia ya kushirikiana na vijana ili kuinua vipaji vyao hivyo kuwaimarisha kiuchumi.

  

Latest posts

Mvurya Ataka Maafisa Wa Idara Na Mashirika Ya Serikali Kuhusu Maendeleo Zishirikishe Serikali Za Ugatuzi

Ruth Masita

Wanawake Wajasiriamali 450 Wanufaika Na Mafunzo Ya Kibiashara Mombasa

Ruth Masita

Mahakama yamwachilia mbunge wa Sirisia John Walukhe kwa dhamana ya shilingi milioni kumi

Joshua Chome

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi