Baraza la KEMNAC Laipongeza Serikali kwa Kumfurusha Mfanyabiashara Harun Aydin.

Baraza kuu la ushauri kwa waislamu nchini Kemnac limeipongeza serikali kuu kwa kumfurusha mfanyibishara wa uturuki na mwendani wa naibu rais Wiliam Ruto, Harun Aydin.

Mwenyekiti wa Kemnac Sheik Juma Ngao amesema hawana imani na mfanyibiashara huyo na wakati huo huo kuwakashifu wanasiasa walio na ukuruba na mfanyibiashara huyo.

Also Read
Aliyemwacha mtoto katika afisi za TSC Wundanyi asakwa

Hata hivyo Ngao amemtaka mkurugenzi mkuu wa benki kuu ya Equity kutoa taarifa kuhusu jinsi mfanyibiashara huyo alikopeshwa billioni kumi na tano huku mkenya wa kawaida akikatazwa kutoa millioni moja kwa wakati mmoja kutoka kwa benki.

Also Read
Mashirika Yasiyo Ya Serikali Yataka Serikali Ya Kaunti Ya Mombasa Kuwajibika
Also Read
Wanaharakati Wanawake Mombasa Wampongeza Rais Ruto kwa kuwateua wanawake 7 Katika Baraza La Mawaziri

Taarifa hii inajiri siku chache baada ya mfanyibiashara wa uturuki kufurushwa humu nchini baada ya serikali kumkisia kuwa na uhusiano na naibu wa rais Dkt.William Ruto.

  

Latest posts

Kiwango Cha Wateja Waliofurahia Huduma Za KRA Ndani Ya Miaka 3 Imeongezeka

Ruth Masita

HURIA Yalaumu Vyama Vya Kisiasa

Clavery Khonde

Wakaazi Kwale Waitaka Serikali Kushughulikia Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi