BETIKA  yawatuza wachezaji waliofana National super league

Kapuni ya michezo ya kubahatisha nchini Betika ilianda hafla ya kuwatuza wachezaji waliofana katika league ya musimu wa mwaka 2020/2021 katila league ya daraja la lapilli National super league.

Akizungumza wakati wa kuwa tuza wachezaji hao mkurugenzi wa Betika Nicholas Mruttu amesema kuwa vilabu vyote 20 vinavyoshiki katika league hio vinapokea kila mwaka laki 750 pamoja na vifaa vingine vya michezo ikiwemo jersey mipira na mipira.

Huku akifichua kuwa betika imeshirikiana na  shirikisho la soka nchini  kukuza soka mashinani mabapo wametenga millioni 45.

Aidha Betika pia imefichua imewasadia Zaidi ya wachezaji 50 kusinga kutoka league ya daraja la pili hadi ligi kuu kila musimu.

Also Read
Mbappe Aelezea Tamko La Matusi Kwa Neymar

Hii hapa Orodha ya wachazaji waliotuzwa

 

 1. Assistant Referee of the Year
 • Irene MASHA – 2nd Runners-Up (100k)
 • Oliver LIME – Winner (250k)
 • Walter MARITIM – 1st Runners-Up (150k)
 1. Referee of the Year
 • Edwin BOBIYA – Winner (300k)
 • Lucy JUMA – 1st Runners-Up (200k)
 • Wycliffe ITOLONDO – 2nd Runners-Up (100k)
 1. Fair play team
 • Kibera Black Stars FC – Winner (300k)
 1. Young Player of the Year (Most Promising Player)
 • Alfred TANUI – Winner (300K)
 • Alvin OCHIENG – 2nd Runners-Up (100K)
 • Brian MICHIRA – 1st Runners-Up (200K)
 1. Defender of the Year
 • Chris WILUNDA – 2nd Runners-Up (100K)
 • Nichodemus MALIKA – 1st Runners-Up (200K)
 • Portipher ODHIAMBO – Winner (300K)
 1. Midfielder of the Year
 • Antony GICHO – Winner 300K
 • Bonface KWEYU – 1st Runners-Up 200K
 • Brian MICHIRA – 2nd Runners-Up 100K
 1. Golden Glove (Best Goalkeeper)
 • Bonphas MUNYASA – Winner 400K
 • Gedion OGWENO– 1st Runners-Up 250K
 • Wilson MWANGI – 2nd Runners-Up 150K
 1. Golden Boot (Best Forward)
 • Cornelius JUMA – Winner 400K (16 goals)
 • Jackson OKETCH – 1st Runners-Up 200K (15 goals)
 • Samuel NDUNG’U – 1st Runners-Up 200K (15 goals)
 1. Coach of the Year
 • Ken Kenyatta – Winner 500K
 • Edward MANOAH – 1st Runners-Up 300K
 • Benedict SIMIYU – 2nd Runners-Up 150K
 1. Team of the Year
 • FC Talanta – Winner- 1M
 1. MVP of the year
 • Portipher ODHIAMBO – Winner- 1
Also Read
Diamond League yafutiliwa mbali kutokana na virusi vya Corona.
Also Read
Wanasoka wazamani wahimizwa kuongoza soka nchini

 

Mwaka wa 2019 Betika ilitangaza udhamini wa milioni 94 kwa kipindi cha muda wa miaka mitatu kwa league hio inayojumuisha vilabu 20 nchini.

 

  

Latest posts

Mshukiwa Mkuu Wa Mauaji Ya Mwanariadha Agnes Tirop Amekamatwa Mombasa

Clavery Khonde

Mariga Amtaka Mwendwa Kuomba Msamaha Na Kujiuzulu Kama Kiongozi Wa Soka Nchini

Clavery Khonde

Rais Kenyatta Amuomboleza Mwanariadha Tirop

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi