Boss Marto Amesema Kuwa Mageuzi ya ATL Yatakamilika Wiki Ijayo.

Menaja wa ATL boss Marto amewataka mashabiki kuwa tayari kwani label hio imefanya mageuzi makubwa ambayo watayaona kwanzia wiki ijao.
Akizungumza kwenye mahojiano na Chuo kikuu cha Buradani Pwani Mashav mashav, Marto amesema kuwa label hiyo inakuja kazi mpya mabazo zitabadilisha kabisa tasnia nzima ya burudani Pwani.
“Nimechukua muda kufanya research kulewa ni kitu gani shabiki anakitaka na kwa wakati upi so next week we are changing everything pia tarajia kuona mageuzi makubwa kwenye Label ya ATL” ameseama Marto.
Aidha amesema alilazimika kukatiza ghafla mchakato mzima wa kuachia kazi za msaani Allly Mahaba aliokuwa amemshirikisha Aslay na wasaani wengine nchini Tanzania kutokana na kesi ilikuwa inamkabili nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa mdukuzi wetu huenda ikawa Boss marto ameamua kufanya kujumuisha msaani Dazlah kiduche kwenye label ya ATL.
  

Latest posts

Harmonize Afunguliwa Mashtaka na Dully Sykes

Ken Wekesa

Je! Tanasha Donna Ameanzisha Mahusiano Mengine na Msanii wa Nigeria Omah Lay?

Ken Wekesa

Kiki ya Nyota Ndogo na Pday Yamfanya Mumewe Afunguke Kuwa Bado Hawajaachana

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi