Bunge la kaunti ya Kilifi latakiwa kupitisha sherie ya 40 ya fedha za madini kurudi kwa jamii

Asilimia arobaini ya zao la madili yanayochimbwa eneo la Jaribuni  huko Ganze kaunti ya Kilifi ni lazima ibaki mikononi mwa jamii ya Jaribuni ili waweze kunufaika moja kwa moja na mradi huo.

hii ni kauli ya muwaniaji wa kiti cha ugavana kaunti ya Kilifi wakili George Kithi ambaye anasema hata licha ya  mradi huo wa uchimbaji madili kusababisha maradhi ya kila aina kwa jamii ya Jaribuni hakuna kikubwa kinachowanufaisha wanchi hao kwa sasa.

Also Read
Saratani Ya Mlango Wa Uzazi Imetajwa Kuathiri Wengi Nchini

Akizungumza huko kata ya Kauma eneo bunge la Ganze Kithi amelitaka bunge la kaunti ya Kilifi kupiotisha mara moja msuada wa asilimia arobani wa mapato wa timbo kubaki kwa jamii huku akiahidi  akichaguliwa kuwa gavana wa Kilifi atahakikisha  sheria hiyo imetumika kikamilifu.

Also Read
Marufuku Yatolewa Kwa Watoto Wanaoendesha Bodaboda Badala ya Kwenda Shuleni

Aidha Kithi amekemea tabia za madereva wa Malori ya timboni huko Jaribuni kwa kuhusika na visa vya mimba za mapema kwa wasichana wa shule, ikibainika kwamba madereva hao huwaficha wasichana wadogo kwenye malori na kushiriki nao vitendo vya ngono. Kithi sasa akiahidi kuwachukulia hatua kali za kisheria wote watakaopatikana kujihusisha na vitengo hivyo.

Also Read
Viongozi wa kidini watakiwa kuwa mstari wa mbele katika ulindaji w amazingira

 

  

Latest posts

Nitawatetea Wanawake Vilivyo Asema Masito

Clavery Khonde

Nitaiboresha Idara Ya Usalama Kaunti Ya Mombasa Asema Abdullswamad Shariff Nassir

Clavery Khonde

Mpango Wa Wanawake Wazinduliwa Kwlae

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi