Chama Cha PAA Chazidi Kufungua Afisi Asema Mwaganda

Huku uzinduzi rasmi wa chama cha Pamoja African Alliance (PAA) ukisubiriwa tayari jumla ya matawi 36 kote nchini katika ngazi za kaunti yamefunguliwa.

Akiongea na meza yetu ya habari kwa njia ya simu mwakilishi wadi ya Mtepeni Victor Gogo Mwaganda amedokeza kuwa chama hicho kinasura ya kitaifa na harakati za kuwafikia wakenya wote zinaendelea kwa sasa.

Also Read
Chama Cha PAA Chapingwa
Also Read
Tukumbatie Chama Cha PAA Na Si ODM Asema Makanga

Aidha amesema kuwa chama kitakapopata cheti rasmi kitawachagua viongozi watakao simamia chama hicho akisema viongozi hao watatoka kila kona ya taifa hili, kwani chama cha PAA si cha wakaazi wa Kilifi pekee bali ni chama chenye nguzo kila kaunti.

Also Read
Kenya Breweries Yazindua Mvinyo wa Bei Nafuu

Mwaganda amesema pia uzinduzi wake unatarajiwa kufanyika hivi karibuni.

  

Latest posts

Mshukiwa Mkuu Wa Mauaji Ya Mwanariadha Agnes Tirop Amekamatwa Mombasa

Clavery Khonde

Mbelle Awahimiza Vijana Kuzidisha Chachu Ya Talanta Zao

Clavery Khonde

Rais Kenyatta Amekutana Na Rais Biden Wa Marekani

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi