Chilwell kutua Chelsea baadae wiki hii

Klabu ya Chelsea imekubali kuipa Leicester city kima cha pauni millioni 50 kwa beki Ben Chilwell raia wa Ungereza huku usajili wake ukitarajiwa kufanyika chini ya muda wa siku 3 zijazo.

 Tayari Chelsea wamekamilisha usajili wa Timo werner kwa yuro million 58 na  Hakim Ziyech kwa yuro millioni 38.

Also Read
Van Dijk afanyiwa upasuaji wa Goti

Chilwell anatarajiwa kusaini kandarasi ya miaka mitano na Chelsea.

Frank Lampard ameamua kuingia sokoni kwa fujo kali ikizingatiwa kuwa kwa sasa anazisaka sahihi za Beki wa PSG Thiago Silva ambaye mkataba wake na club hio umekamilika.

Also Read
Luiz Suarez kuchunguzwa na mafisa wa polisi.

 Kiungo wa ujerumani Kai Havertez amabye atagharimu Zaidi ya yuro millioni 90.

Vile vile Lampard anatarajia kumsajili beki wa Nice Sarr Malang kwa mkataba wa miaka mine baada ya kumaliza kandarasi yake na club ya Nice Indapo Lampard atafanya sajilihizi basi huenda Chelsea ikatumia Zaidi ya yuro millioni 231 katika usajili wawachezaji musimu huu pekee.

  

Latest posts

PSG Kumtema Neymar

Clavery Khonde

WRC Safari Rally Kuandaliwa Naivasha

Clavery Khonde

Bayern Munich Wakamilisha Usajili Wa Sadio Mane

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi