DAVIDO APIGWA FAINI

Msanii Davido amelipa faini ya Ksh 42,000,000 baada ya kuchelewa kumaliza tamasha lake la 02 arena kwa muda wa dakika 34.
Kwa mujibu wa repoti nchini Ungereza Davido alishahili kumaliza Tamasha lake mida ya saa saa tano usiku lakini akaongeza muda wa dakika 30 hatua iliopelkea wasimamiz wa tamasha hili kupiga faini hio mbayo ipo katika mkataba wa makubaliano ya kufanya tamasha katika ukumbi huo.
Vile vile kuna repoti kuwa huenda faini hio inatokana na kuwa msaani huyo alikosa kuujaza ukumbi wa O2 arena.

  

Latest posts

Waziri Chelagui Awahimiza Vijana Kujiunga Na Vyuo Vya Kiufundi

Clavery Khonde

DPP Aidhinisha Mshtaka Ya Mauaji Dhidi Ya Mura Awadh

Clavery Khonde

Nitawatetea Wanawake Vilivyo Asema Masito

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi