
Davido aliweka wazi kupitia mitandao ya Kijamii na kuongezea kuwa uongozi wa label yake umechukua uamuzi huo kama njia ya kupinga ukatili na unyanyasaji wa kijinsia.
Wakati huohuo akaendelea kukuza himaya yake ya Davido Music worldwide kwa kusajili msanii mpya wa kwanza wa kike kwenye label yake Msanii kwa jina Liya.