Dobe Dobeza

KBC Online

Show ya Kimijikenda inayoangazia maswala yanayofanyika ‘Midzini’ ambayo mengine yatakukustajabisha na kukuwacha kinywa wazi. Watangazaji wanakemea mila potuvu kwenye mzunguko wa mila za kabila zote tisa na kisha kukuza mizizi ya maendeleo muhimu kama vile elimu. Karibu kwenye show ya nguzo ya wamejikenda na ufarahie vibao vya kileo vya Kimijikenda. Abiri meli ya MV Dobebeza kuanzia saa nane alsiri hadi kumi juu ya alama.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi