Dogo Richie Amesitisha Kufanya Kazi na Ruchi Wakanda

Msaani Dogo Richie amesitisha kufanya kazi na Ruchi Wakanda.
Wawili hao wamekuwa wakifanya kazi kwa karibu lakini kwa sasa hawaonani uso kwa uso kwa mujibu wa tarifaa kitaani.
Richie na Ruchi kwa pamoja wamehusika katika utayarishi wa nyimbo Controller ya Ruchi na Naringa Naye ambayo Ruchi amemshirikisha Dogo Richie.
Meza yetu ya umbea imebaini kuwa mzozo baina ya wawili hao umesababishwa na mchungo wa hela ambao Ruchi alifaa kutoa kwa Dogo Richie kutoka na kazi za usimamizi alizokuwaanamfanyia chini ya record label yake Riclam.
  

Latest posts

Serikali ya kaunti ya Kilifi yatenga asilimia 15 ya bajeti kwa maendeleo

Joshua Chome

Kalonzo Aikosoa Serikali

Clavery Khonde

Rais Ruto Ateua Jopokazi Litakalo Tathmini Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi