Mchekeshaji Eric Omondi amedai kuwa mkurugenzi wa Bodi ya Filamu nchini Ezekiel Mutua hajawahi kuisaidia tasnia ya sanaa nchini.

Kauli yake Eric Omindi inajiri baada ya Mutua kusema kuwa Omondi nakosea maadali baada ya kukosa kutoa ilani katika maudhui nayotoa katika mitandao ya kijamii kuwa haifai kutazamwa na watoto wadogo.
Vile vile Omondi amemtaka mkurugenzi huyo wa bodi ya filamu nchini kukoma kutaja jina lake huku akidai kuwa natumia jina lake kujipatia umaarufu katika mitandao ya kijamii.
Nipe maoni yako kuhusiano na kauli alitoa Dr. Mutua na ile alitoa Eric Omondi