Gavana Dago Godhana Asema Huenda Magavana wa Pwani Wakamshabikia Raila

Gavana wa kaunti ya Tana River Dado Godana amesema magavana wote wa kaunti za pwani huenda wakaungana pamoja na kumuunga mkono Raila Odinga kwenye uchaguzi mkuu ujao wa 2022.

Akiongea kwenye mkutano uliohudhuriwa ni Raila Odinga na viongozi wengine wa chama cha ODM huko ukambani Dado anasema  anaimani kwamba pia wale ambao wako nchi ya kambi yao pia nao watarudi kumuunga mkono Raila ODINGA kwenye siasa za mwaka 2022

  

Latest posts

EACC Itahakikisha Walioteuliwa Wanatia Saini Mkataba Wa Kujitolea

Ruth Masita

Haki Afrika Yaeleza Uchaguzi Wa Agosti 9 Haukuzingatia Haki

Ruth Masita

Mashirika Ya Kijamii Yaeleza Dosari Za Uchaguzi Mkuu Wa Tarehe 9 Agosti

Ruth Masita

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi