Gavana Granto Samboja asema serikali yake iko mbioni kuwekeza kwenye miradi ya kuleta ajira

Serikali ya kaunti ya Taita-taveta imesema kwamba inaendeleza juhudi kufanikisha mradi wa ujenzi wa viwanda katika eneo bunge la Voi unafanikishwa ili kutoa nafasi za ajira kwa vijana.

Also Read
Vuguvugu La Angaza Lahamasisha Vijana Taita Taveta

Akizungumzia suala hilo gavana wa kaunti ya Taita-taveta Granton Samboja idadi ya vijana wanaotafuta ajira katika kaunti hio imeongezeka maradufu na ni kupitia mradi huo ndipo vijana wataajiriwa.

Also Read
Walioathirika Na Ujenzi Wa Bwawa La Mwache Kufidiwa Kabla Ya Mwezi Disemba

Samboja aidha amesema nafasi za ajira zilizoko katika serikali ya kaunti hio ni chache na haziwezi kukidhi hitaji la wakaazi wasiokua na ajira katika kaunti hio ya Taita-taveta.

  

Latest posts

Kiwango Cha Wateja Waliofurahia Huduma Za KRA Ndani Ya Miaka 3 Imeongezeka

Ruth Masita

HURIA Yalaumu Vyama Vya Kisiasa

Clavery Khonde

Wakaazi Kwale Waitaka Serikali Kushughulikia Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi