Gavana Joho Anamlima Wakukwea Kuishawishi Pwani Kumpigia Kura Odinga Asema Mwidau

Nafasi ya gavana wa kaunti ya Mombasa Hassan Ali Joho kumhakikishia kura za pwani mgombea kiti cha urais kwenye muungano wa azimio la umoja one Kenya Raila Odinga huenda ikawa na ugumu baada ya hatua  ya magavana Amason Kingi na Salim Mvurya kumuunga mkono mgombea wa Kenya Kwanza naibu rais Dkt. William Ruto.

Also Read
Hamasa zawafaidi wenyeji wa Ganze

Haya ni kulingana na mchanganuzi wa maswala ya kisiasa Maimuna Mwidau.

Katika mahojiano ya kipekee na pwani fm Mwidau anasema kuwa gavana Joho atahitajika kujifua zaidi ili kumhakikishia Odinga kura eneo la pwani.

Also Read
Wanasiasa Wasitumie Madhabahu Vibaya Wasema Viongozi Wa Dini Malindi

Mwidau amekinzana na wanao sema kuwa gavana Kingi hawezi kuongeza kura za Ruto akisema kuwa Kingi ameingia kwenye mikataba ya maandishi na wapwani swala lao kubwa ni kurejeshwa kwa huduma za bandari jijini Mombasa na ni swala hilo ambalo lina mpa nguvu gavana Kingi kuliko Joho kwa sasa.

Also Read
Gavana Kingi Ataka Nakala Za Bbi Kutolewa Kwa Wananchi Wa Kilifi.

 

  

Latest posts

Ujenzi Wa Nyumba Za Gharama Nafuu Wafaa Kufanywa Nje Ya Jiji Asema Thoya

Clavery Khonde

Tedros Adhanom Ghebreyesus Achaguliwa Tena Kuwa Mkuu Wa WHO

Clavery Khonde

Jurgen Klopp Achaguliwa Kama Mkufunzi Bora Wa Ligi Ya EPL

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi