Gavana Joho Awasihi Wakazi Wa Mombasa Kutomchagua Sonko Kama Mrithi Wake

Gavana  wa kaunti ya Mombasa Hassan Joho pamoja na viongozi wengine kutoka kaunti hiyo waliungana na wakaazi kusherehekea sherehe ya Eid Baraza.

Licha  ya mvua kubwa kunyesha wakazi walijitokeza kwa wingi kuadhimisha sherehe hizo.

Also Read
Bunge la kaunti ya Taita Taveta lakashifiwa kwa madai ya ulegevu katika utendakazi wake

Ni wakati wa hotuba hizo ambapo gavana Joho na viongozi waliohudhuria waliwataka wakazi wa Mombasa wasidanganywe kumchagua Sonko kuwa gavana wa Mombasa.

Waliwasihi wakazi wa kaunti hiyo kuhakikisha wanawachagua viongozi ambao wanawajua vyema na sikuchagua watu waliopendekezwa na viongozi flani.

Also Read
Sonko Mashakani

Badala yake, walimpigia debe mgombea wa ODM Abdulswamad Shariff Nassir wakibainisha kwamba anajali maslahi ya watu.

Also Read
Viongozi Kwale wapongeza mradi wa 'Kazi Mtaani'

Wakati  huo huo huku kinyang’anyiro cha kumchagua mgombea mwenza anayefaa kwa kinara wa Azimio la Umoja Raila Odinga, viongozi waliokuwepo kwenye Baraza la Eid walimtaja Joho kama kiongozi mwenye uwezo anayestahili nafasi hiyo.

  

Latest posts

Nitawatetea Wanawake Vilivyo Asema Masito

Clavery Khonde

Nitaiboresha Idara Ya Usalama Kaunti Ya Mombasa Asema Abdullswamad Shariff Nassir

Clavery Khonde

Mpango Wa Wanawake Wazinduliwa Kwlae

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi