Gavana Mvurya Atoa Tamko Kuhusu Bei Ya Unga Wa Mahindi

Siku moja tu baada ya rais Uhuru Kenyatta kutangaza kupungzwa kwa bei ya unga wa mahindi baadhi ya viongozi wanaoegemea muungano wa Kenya kwanza wametilia shaka agizo hilo wakilitaja limetokana na msukumo wa siasa.

Also Read
Serikali ya Kilifi kuanzisha upimaji virusi vya korona kwa umma

Akiongea huko Kwale gavana Salim Mvurya amesema kuwa wakenya hawafai kufurahikia punguzo hilo kwani huenda bei ya bidhaa hio mhimu ikarudi kama ilivyokua hapo awali.

Also Read
Wakaazi Wa Kwale Wametakiwa Kuzingatia Kanuni Za Afya Wakati Wa Sherehe Za Eid-al-Adha

Ikumbukwe hio jana rais Kenyatta alikubaliana na wasagaji wa unga wa mahindi nchini kupunguza bei ya bidhaa hio kutoka shilingi 205 hadi shilingi 100 baada ya seriakli  kutangaza kuondoa ushuru na kodi ya ziada kwenye mahindi yanayoagizwa kutoka nje ya Kenya, kama njia mojawapo ya kupunguza gharama za maisha.

  

Latest posts

Serikali ya kaunti ya Kilifi yatenga asilimia 15 ya bajeti kwa maendeleo

Joshua Chome

Kalonzo Aikosoa Serikali

Clavery Khonde

Rais Ruto Ateua Jopokazi Litakalo Tathmini Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi