Ghasia Nchini Afrika Kusini Zapelekea Kuhairishwa Kwa Kesi ya Rais Mstaafu Jacob Zuma.

 

Kesi ya ufisadi inayomkumba aliyekuwa rais wa afrika Jacob Zuma kuhusu ununuzi wa silaha katika miaka ya tisaini, imeahirishwa hadi tarehe kumi mwezi Agosti.

Also Read
Korona Imeathiri Mapato Kwale

Rais huyo wa zamani alihukumiwa mapema mwezi huu kifungo cha miezi 15 gerezani kwa kupuuza mahakama baada ya kudinda kufika mbele ya jopo linalochunguza ufisadi nchini humo.

Also Read
Wapwani Wahimizwa Kukumbatia Ukulima

Siku ya jumatatu, Zuma alihudhuria kikao cha mahakama kupitia njia ya video, lakini akaomba kuwa kesi hiyo iahirishwe kutokana na janga na corona na ghasia zilizozuka nchini humo baada ya kukamatwa kwake.

  

Latest posts

Tume ya mawasiliano yaanzisha mtambo mpya wa kiteknolojia kutambua mawimbi ya vituo vya redio

Joshua Chome

Rais Uhuru Kenyatta kuongoza mazungumzo ya ngazi za juu kwenye baraza la umoja wa mataifa Oktoba

Joshua Chome

Shehena ya chanjo ya Pfizer yawasili nchini

Joshua Chome

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi