Haika Akinzana Na Mapendekezo Ya BBI

Mwakilishi wa wanawake katika kaunti ya Taita Taveta, Lydia Haika amekinzana na shinikizo za idadi kubwa ya viongozi wa Kaunti hiyo wanaoshinikiza  wakaazi kuunga mkono marekebisho ya katiba ya BBI.
Kulingana na Haika, marekebisho hayo ya katiba yana mpango wa kuwagandamiza wanawake kutokana na penedekezo la kufutilia mbali kiti cha mwakilishi wa wanawake.
Aidha Haika amedokeza kuwa  kwa sass wawakilishi hao wanawake wamejiandaa kuipinga vikali ripoti hiyo wakati itakapojadiliwa katika bunge la kitaifa.
Kadhalika Haika anasema ripoti hiyo itawakandamiza mno wananchi hivyo kuwarai viongozi wenza kubuni mikakati ya kupunguzia wananchi gharama ya maisha.

  

Latest posts

Nadal Atinga Nusu Fainali Ya Michuano Ya Wimbledon

Clavery Khonde

Raheem Sterling Akubali Kujiunga Na Chelsea

Clavery Khonde

Waziri Chelagui Awahimiza Vijana Kujiunga Na Vyuo Vya Kiufundi

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi