Hisia Mseto Zatolewa Kuhusiana Na Kufungwa Kwa Shule

Wazazi katika kaunti ya Lamu wanaendelea kupongeza hatua iliyochukuliwa na wizara ya elimu ya kufunga shule zote humu nchini ili kutoa nafasi kwa walimu kuweza kushiriki zoezi la upigaji kura kwenye uchaguzi mkuu juma lijalo.

Also Read
Elungata Ameihakikishia Pwani Usalama Kwenye Uchaguzi Mkuu Ujao

Wakiongea na pwani fm wakaazi hao wanasema kuwa kwa sasa washikadau ambao hufanya kazi kwenye mashule watapata fursa yakusafiri kuenda sehemu wanazostahili kupiga kura kwa wakati unaofaa.

Also Read
Kiasi Cha Mafuta Ya Turkana Yanayosafirishwa Chaongezwa Maradufu

Hata hivyo kuna baadhi yao ambao wamelalamikia hatua ya kufungwa mara kwa mara kwa shule wakisema hatua kama hio hutatiza wazazi kwenye jambo la ulipaji karo kutokana na hali ngumu ya kiuchumi nchini.

  

Latest posts

Serikali ya kaunti ya Kilifi yatenga asilimia 15 ya bajeti kwa maendeleo

Joshua Chome

Kalonzo Aikosoa Serikali

Clavery Khonde

Rais Ruto Ateua Jopokazi Litakalo Tathmini Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi