Idadi ya Wapwani Waliojisajili Yasalia Kuwa ya Chini

Imebainika kuwa kufikia sasa idadi ndogo ya wakaazi eneo la pwani wamejitokeza kujisajili kama wapiga kura katika zoezi la usajili linaloendelea kwa ajili ya uchaguzi mkuu mwaka ujao.

Also Read
Oguna Awataka Wazee Waliokosa Pesa Za Inua Jamii Kuwasilisha Malalamishi Yao.

Kulingana na mkurugenzi wa shirika la Haki Afrika Hussein Khalid shirika hilo ni kati ya mashirika yaliyoruhusiwa kufanya ukaguzi na uchunguzi wa zoezi la usajili huo.

Also Read
Ni Wakati Wa Raila Odinga Kuniunga Mkono Kuwania Urais Asema Oparanya

Khalid ameeleza kwamba kaunti ya Kwale inaongoza katika idadi ya wanaojitokeza kujisajili kuwa wapiga kura kwa asilimia 13% huku kaunti ya Lamu ikiwa na asilimia 3% kufikia sasa.

Also Read
Harambee Stars Kupambana Na Chipolopolo Ya Zambia

 

  

Latest posts

Wafanyibiashara Katika Soko La Malindi Walalamikia Uchafu na Uvundo.

Sylvester Chibero

Wakenya Wametakiwa Kuwa Waangalifu Wakati Wanapoabiri Magari Msimu Huu Washerehe.

Sylvester Chibero

Tutashamiri Kwenye Mashindano Ya Mwaka Huu Ya Tong-IL Moo Do Asema Master Mwakio

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi