IEBC Yakashifiwa Pwani Kwa Kukosa Kuwahamasisha Wakenya Vyema Kujisajili

Muungano wa vyama vya Pwani almaarufu umoja wa Pwani umekashifu tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Iebc kwa kutowahusisha washikadau mhimu, Sawa na kutohamasisha wakenya vilivyo Katika zoezi lilokamilika hivi majuzi la usajili wa wapiga kura wapya.

Also Read
Mishi Mboko Azidi Kupigia Debe BBI

Katika kikao na wahabari mjini Voi muungano huo umoja wa Pwani unaoshirikisha chama Cha Shirikisho, umoja summit, Kadu asili na chama Cha Cpk sasa inashinikiza Iebc kuaandaa zoezi lingine na kuhusisha washikadau mhimu kwa ufanisi wa zoezi hilo.

Also Read
Serikali Ya Tana River Yagawa Maji Kwa Wakaazi

Benedictin wachira ni Katibu mkuu wa chama Cha Communist Patty of Kenya.  Hata hivyo umoja wa Pwani umewarai wanasiasa wote mkoani Pwani kujiunga kikamilifu na chama hicho katika makubaliano yao almaarufu kama Voi declaration kama njia moja ya kusuluhisha Changamoto zinazowakabili wapwani hususan majira haya tunapokaribia uchaguzi mkuu mwaka ujao.

  

Latest posts

Kaunti ya Kilifi yaanza uboreshaji wa huduma za afya

Joshua Chome

Bunge lajadili hotuba ya rais huku mseto wa hisia ukiibuka kutoka kwa pande mbili

Joshua Chome

Rais wa Uganda Yoweri Museveni awaomba msamaha Wakenya kwa jumbe kutoka kwa generali Mohoozi

Joshua Chome

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi