IEBC Yakutana Na Wagombea Urais Nchini

Tume ya uchaguzi na mipaka nchini imekutaka na wagombezi wote wa uraisi Jumatatu katika ukumbi wa Bomas of Kenya jijini Nairobi kuwapa ushauri.

Akiongea kwenye mkutano huo mwenyekiti wa tume hiyo Wafula Chebukati aliweza kuwapatia baadhi ya masharti wagombezi wote ambao watajibwaga kwenye kinyang’anyiro hicho kama wagombea huru ama wale wenye vyama na kuwataka kuhakikisha wanafata masharti ili wasiweze kufungiwa nje ya uchaguzi huo.

Also Read
Lalama Za Ukosefu Wa Vyoo Tana River
Also Read
Jamii Ya Waluo Yajitayarisha Katika Uchaguzi Mkuu Mwezi Agosti

Chebukati pia amewataka wagombezi wote wa uraisi ambao wako na shahada za digrii kutoka mataifa ya nje lazima wawe na barua ya kuonyesha kwamba walipata shahada hizo kwa njia halali kutoka kwa bodi kuu ya elimu ya juu nchini.

Also Read
Afueni Ya Maji Taita Taveta

Pia Chebukati amewataka wagombezi kuja na ratba ya mikutano yao ya kampeni ili ziweze kupigwa msasa na tume hiyo.

 

  

Latest posts

Ofisi Ya Msajili Yawashirikisha Washikadau Kwenye Msafara Wa Amani Pwani

Ruth Masita

Nzai Aeleza Nia Ya Kuimarisha Viwango Vya Elimu Jomvu

Ruth Masita

WRC Safari Rally Kuandaliwa Naivasha

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi