IEBC Yalaumiwa Kwa Kukosa Kuhamasisha Wakenya Kuhusu Umuhimu Wakuchukua Kura

Huku zikiwa zimesalia siku tano pekee kwa zoezi la usajili wa wapiga kura kumalizika na idadi ndogo ya watu wakiwa wamejitokeza kwa zoezi hilo, tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC inaendelea kulimbikiziwa lawama kwa kukosa kutoa hamasa yakutosha kwa vijana kujitokeza kujiandikisha kama wapiga.

Also Read
Tume ya uchaguzi yaagizwa kufika bungeni kuelezea maandalizi ya uchaguzi

Mkereketwa wa maswala ya kijamii katika eneo la Ziwa la Ng’ombe Abdallah Abdulrahman akiongea na pwani fm amesema kuwa IEBC ndio yakulaumiwa pakubwa kwa idadi ndogo ya watu wanaojitokeza kujiandikisha kama wapiga kura kutokana na utetepetevu wao wa kutowahamasisha wakenya umuhimu wakujiandikisha kama wapiga kura.

Also Read
Chama cha Jubilee chashinikiza kuhesabiwa upya kwa kura za kiambaa
Also Read
Bilioni 4 zimetumika kwa muundo msingi Kilifi

Aidha amewaonya vijana wanaoliopwa na wanasiasa kuhamisha kura zao hadi sehemu nyengine kwa malengo ya kuwanufaisha wanasiasa husika akisema hali hio itachochea ukosefu wa maendeleo katika maeneo wanayotoka.

 

  

Latest posts

Uungereza Yaahidi Kushirikiana Na Kenya Kukabili Korona

Clavery Khonde

Wakenya Wahimizwa Kuwatunza Wanao Dhidi Ya Biashara Ya Ngono

Clavery Khonde

Viongozi Wa Dini Kwale Waonywa Dhidi Ya Kujihusisha Na Siasa

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi