Jamii Ya Luo Yaahidi Kumuunga Mkono Owen Baya

Jamii ya Luo eneo bunge la Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi imesema kwamba watamuunga mkono  na kumpigia kura mbunge wa eneo hilo Owen Baya kwenye uchaguzi mkuu mwezi huu.

Also Read
Uchaguzi Wa FKF Kuendelea

Kulingana na jamii hiyo ,wanamuunga mkono Baya kwa sababu amekuwa mstari wa mbele kufanya maendelea kwa jamii zote eneo hilo.

Also Read
Hisia za wakaazi wa kwale,miaka kumi ya katiba mpya

Wakiongzowa na mwenyekiti wao  Samuel Auchi na Crispo Odek wanasema hawatachagua viongozi kwa misingi ya vyama vya kisiasa bali kupita rekodi za maendeleo waliyoyafanya viongozi.

Also Read
Wahudumu Wa Bodaboda Wahimizwa Kujisajili Kilifi

PAA,Gongolo Mwabonje wa SAFINA na Elizabeth Ziro wa chama cha Umoja Summit Party.

  

Latest posts

Mvurya Ataka Maafisa Wa Idara Na Mashirika Ya Serikali Kuhusu Maendeleo Zishirikishe Serikali Za Ugatuzi

Ruth Masita

Wanawake Wajasiriamali 450 Wanufaika Na Mafunzo Ya Kibiashara Mombasa

Ruth Masita

Mahakama yamwachilia mbunge wa Sirisia John Walukhe kwa dhamana ya shilingi milioni kumi

Joshua Chome

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi