Je! Tanasha Donna Ameanzisha Mahusiano Mengine na Msanii wa Nigeria Omah Lay?

Tetesi kitaani ni kuwa huenda msaani Tanasha Donna ameingia katika mahusiano ya Kimapenzi na Omah Lay wa Nigeria.
Omah Lay ameonekana akiachia comment kwenye picha ambazo Tanasha amekuwa akipost kwenye ukurasa wake wa Instagram, na hivi karibuni kachia makope kope ya mapenzi yenye rangi ya zambarau kwenye mojawapo ya picha za Tanasha.
Kando na hilo kipande cha video kilicho mwonyesha Omahlay akila bata akiwa na Tanasha na washikaji zake zilisambaa kwenye mitandao yakijamii huku zikiwaacha mashabiki wawili hao na maswali kuhusu uhusiano wao wa sasa.
Na nchini Nigeria majarida ya umbea yameripoti kuwa Omahlay na mtoto wa kike anayesemekana kuwa mpenzi wake wameacha kufuatiliana katika mitandao ya Instagram punde tuu tarifaa kumhusu Tanasha zilipoanza kusambaa kwenye mitandao.
  

Latest posts

Video ya Ngono ya Tiwa Savage Yampotezea Kampuni

Ibrahim Nyundo

Hakimu wa Kesi ya Rapa Kanye West Abadili Jina

Ken Wekesa

Ringtone Asema Kuwa Eric Omondi Anawadhalilisha Wanawake

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi