Kaunti ya Kwale yajihami upya dhidi ya Corona

Naibu kamishna wa kaunti ya Kwale Alexander Mativo amezindua mradi wa kutoa hamasa dhidi ya virusi vya korona katika kaunti hiyo.

Akiongea na wanahabari afisini mwake, Mativo amesema kwamba virusi vya korona bado vingalipo na wananchi wanatakiwa kufuata masharti dhidi ya Covid 19.

Also Read
Mamlaka ya mazingira NEMA yafunga migodi siku moja baada ya wawili kufariki kaunti ya Kwale

Amesema kwamba wananchi wamepuuza kanuni zilizowekwa na serikali dhidi ya ugonjwa wa korona akiongeza kwamba watu wameacha kuosha mikono kila wakati, matangi yaliyowekwa hayana maji na maduka hayaweki tena ndoo za maji.

Also Read
Wananchi Wanaendelea Kuhamasishwa Kuhusu Sheria
Also Read
Serikali yatakiwa kuitambua TaitaTaveta kama eneo lililotengwa kimaendeleo.

Mativo amesema kwamba katika muda wa saa 24 kuna watu wawili ambao wameambukizwa virusi vya korona, mmoja akiwa raia wa kigeni na mmoja akiwa mkaazi wa Kwale.

 

  

Latest posts

Mshukiwa Mkuu Wa Mauaji Ya Mwanariadha Agnes Tirop Amekamatwa Mombasa

Clavery Khonde

Mbelle Awahimiza Vijana Kuzidisha Chachu Ya Talanta Zao

Clavery Khonde

Rais Kenyatta Amekutana Na Rais Biden Wa Marekani

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi