Khaligraph Jones Amesema Kuwa Hawezi Kuomba Collabo Afrika Kusini.

Rapper Khaligraph Jones amesema kuwa hawezi kuomba collabo kutoka kwa nchi ya Afrika Kusini.
Kauli yake OG inajiri baada ya Shabiki kupendekeza Rapper huyo atafute collabo za Afrika kusini kwa msaani Nasty c au Casper Novest
OG amesema wakati umefika pia kwa wasaani kutoka kwenye mataifa mengine kuja nchini Kenya kutafuta collabo hizo.
  

Latest posts

Harmonize Afunguliwa Mashtaka na Dully Sykes

Ken Wekesa

Je! Tanasha Donna Ameanzisha Mahusiano Mengine na Msanii wa Nigeria Omah Lay?

Ken Wekesa

Kiki ya Nyota Ndogo na Pday Yamfanya Mumewe Afunguke Kuwa Bado Hawajaachana

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi