Kiangazi Chawalemea Wakaazi wa Bamba

Viongozi wa eneo la Bamba wanasema hali inazidi kuwa mbaya zaidi katika eneo lao huku wanainchi nao wakisema hali zao za aafya pia huenda zikawa kwenye mtego zaidi.

Also Read
Siasa Za Msambweni Zapamba Moto

Akiongea na waandishi wa habari Christopher karisa aliye mwakilishi wa wadi ya Bamba anasema kiangazi cha mwaka huu hakijakuwa cha kawaida na kwamba kunahatari ya maisha ya binadamu yakawa kwenye mtego wa mauti kama serikali ya kitaifa haitaingilia kati.

Also Read
Marufuku Yatolewa Kwa Watoto Wanaoendesha Bodaboda Badala ya Kwenda Shuleni

Kauli ya mwakilishi huyu wa wadi imeungwa mkono ni baaddi ya wananchi ambao wanasema wamekuwa wakinywa maji machafu ili kukata kiu jambo linalozidi kuhatarisha maisha yao.

  

Latest posts

Uungereza Yaahidi Kushirikiana Na Kenya Kukabili Korona

Clavery Khonde

Wakenya Wahimizwa Kuwatunza Wanao Dhidi Ya Biashara Ya Ngono

Clavery Khonde

Viongozi Wa Dini Kwale Waonywa Dhidi Ya Kujihusisha Na Siasa

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi