Kilio Cha Ardhi Kwale

Zaidi ya familia 50 zinazoendeleza shughuli za kibiashara katika ardhi block 13 na 14 eneo la Waa wanalalamikia kuhangaishwa na mwekezaji binafsi anayedai kumiliki ardhi hizo.

Also Read
Gavana Kingi Amuomba Rais Kenyatta Kutatua Tatizo La Mashamba Pwani

Wakiongozwa na Omar Badi wanasema kwamba kwa miongo mingi wamekuwa wakiendeleza shughuli za kilimo na uvunaji wa mawe ili kujipatia mapato wakishangazwa na jinsi mwekezaji huyo anavyodai kuwa mhalali wa ardhi hizo.

Also Read
Serikali Ya Kaunti Ya Kwale Yahimizwa Kukamilisha Ujenzi Wa Barabara

Wanaitaka tume na wizara ya ardhi nchini kuingilia kati mzozo huo ili kuona haki inapatikana.

Also Read
Uraibu wa Madawa ya Kulevya Waongezeka Kwenye Kaunti ya Kwale.

Haya yanajiri huku swala la umiliki wa ardhi likisalia swala tata eneo la pwani.

 

  

Latest posts

DPP Aidhinisha Mshtaka Ya Mauaji Dhidi Ya Mura Awadh

Clavery Khonde

Nitawatetea Wanawake Vilivyo Asema Masito

Clavery Khonde

Nitaiboresha Idara Ya Usalama Kaunti Ya Mombasa Asema Abdullswamad Shariff Nassir

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi