King Kaka Ampongeza Mkewe Kwa Kumtunza

Rapper King Kaka amemsifia mke wake Nana Owiti kwa kusimama naye kipindi chote alichokuwa anaugua.
King kaka alisema kuwa kipindi alichokuwa anaugua alipoteza kilo 33 na kipindi hicho cha miezi mitatu aliyokuwa hospitalini Nana ndiye aliyepambana kwa hali na mahali kuhakikisha kuwa anapokea matibabu.
Aidha king kaka amesema kuwa kipindi hicho kimempa nafasi ya kufahamu maana kamili ya mwenza (Patner) katika mahusiano.
  

Latest posts

Video ya Ngono ya Tiwa Savage Yampotezea Kampuni

Ibrahim Nyundo

Hakimu wa Kesi ya Rapa Kanye West Abadili Jina

Ken Wekesa

Ringtone Asema Kuwa Eric Omondi Anawadhalilisha Wanawake

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi