Kiongozi wa Upinzani wa Tanzania Atuhumiwa kwa Kujihusisha na Ugaidi Dhidi ya Serikali.

Polisi nchini Tanzania wamesema mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe anakabiliwa na tuhuma mbalimbali ikiwemo za kupanga njama za kufanya vitendo vya kigaidi na kuua viongozi wa Serikali.

Also Read
Wafanyabiashara wa Kanda ya Afrika Mashariki Walalamikia Kupanda kwa Bei ya Mafuta Nchini

Taarifa ya Msemaji wa Polisi, David Misime imesema kuwa Mbowe hakukamatwa kwa tuhuma za kupanga na kuandaa kongamano la Katiba mpya jijini Mwanza bali alifahamu tuhuma zinazomkabili.

Also Read
Trump na Biden Warushiana Cheche za Maneno

Taarifa iliyotumwa na polisi inasema washukiwa sita tayari wamefikishwa kortini kwa tuhuma hizo.

Also Read
Msanii MasterKg na Nomcebo wa wimbo wa Jerusalema Watofautiana.

Taarifa hiyo imeongeza kuwa uchunguzi unaoendelea Mwanza na Iwapo itabainika kwamba Mbowe na wenzake wanaozuiliwa walivunja sheria basi watachukuliwa hatua zifaazo.

 

  

Latest posts

ECOWAS yaweka vikwazo Guinea

Tima Kisasa

Utoaji mimba ni ‘mauaji’

Tima Kisasa

Viongozi wa Afrika Magharibi kujadili mzozo wa Guinea

Tima Kisasa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi