Korona Yatajwa Kusababisha Wengi Kutotembelea Vituo Vya Afya

Idadi ya wazazi wanaotakiwa kuwapeleka watoto wao kupata chanjo za kinga kutokana na magonjwa mbali mbali imetajwa kupungua kwa kiasi kikubwa kutokana na hofu ya maambukizi ya virusi vya korona.

Also Read
Uhaba Wa Chanjo Washuhudiwa Tana River

Haya ni kulingana na afisa muhamasishaji wa afya kutoka kaunti ya Mombasa Caroline Agutu.

Katika mahojiano ya kipekee na pwani fm Agutu anasema ujio wa korona nchini umesababisha madhara mengi hususani kwa watoto ambao hadi kufikia sasa wengi wao hawajamaliza kupokea chanjo zao.

Also Read
Majaribio ya chanjo ya COVID-19 yaendelea Afrika Kusini
Also Read
Uingereza Kutoa Chanjo Kwa Mataifa Maskini Afrika.

Hata hivyo amezidi kuwahimiza wazazi kuhakikisha wanawao wanachanjwa dhidi ya ugonjwa wa polio akisema kwa sasa shughuli hio inaendelea katika kaunti ya Mombasa

  

Latest posts

ODM Yamteua Mohammed Hamid Kama Mwenyekiti Wa Tawi la Mombasa

Ruth Masita

Wafanyabiashara wa Kanda ya Afrika Mashariki Walalamikia Kupanda kwa Bei ya Mafuta Nchini

Ruth Masita

ECOWAS yaweka vikwazo Guinea

Tima Kisasa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi