Koulibaly Aikosa Mechi Ya Senegal dhidi ya Zimbabwe

Senegal imewakosa kipa Edouard Mendy na beki Kalidou Koulibaly katika mechi yao wa ufunguzi kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya wachezaji wote wawili kukutwa na virusi vya corona.

Also Read
Bingwa Mtetezi Algeria Atemwa Nje Ya AFCON

Teranga Lions, namba mbili wa michuano hiyo mwaka 2019, wamenyana na Zimbabwe katika mechi yao wa ufunguzi katika Kundi B leo Jumatatu na kuitandika  Zimbabwe bao moja kwa bila.

Also Read
Chanjo Ya Polio Kilifi
Also Read
Iwobi kukosa mechi za Nigeria baada ya kuambukizwa Corona

bao lilofungwa na Sadio Mane kunako dakika za nyongeza.

Kipa wa Chelsea Mendy, beki wa kati Koulibaly na mshambuliaji Famara Diedhiou wametengwa.

  

Latest posts

Gor Mahia Wapiga Kalamu Harrison na Benchi Lake La Kiufundi

Clavery Khonde

Sportpesa Yatoa Vifaa Vya Matibabu Kilifi

Clavery Khonde

Hospitali Za Kibinafsi Kukataa Huduma Za NHIF Mwezi Ujao

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi