Kuna Haja Yakuhamasisha Jamii Dhidi Ya Wanaoishi Na Ulemavu

Kuna haja ya jamii kaunti ya Kilifi kuhamasishwa dhidi ya watu wanaoishi na ulemavu ili kuondoa dhana potovu  juu ya jamii watu wanaoishi na ulemavu na kuwaona kama watu wa kawaida.

Also Read
Fujo Muranga

Akizungumza mjini kilifi, afisa mkuu wa watu wanaoishi na ulemavu kaunti ya kilifi Mathias Mwastuma amewataka wazazi hasa wakiume kuwakubali watoto wanaozaliwa na ulemavu na kuwalea kama watoto wengine katika familia.

Also Read
Mwanafunzi Apigwa Risasi Kwenye Mzozo Wa Ardhi Malindi

Mwatsuma amesema wazazi wengi huwaficha watoto walemavu majumbani ama kuvunja ndoa zao tatizo likiwa mtoto mlemavu hali ambayo imechangia pakubwa kuteseka kwa watoto hao.

Naye Eunice Mapenzi Makupe mmoja wa wazazi aliye na mtoto mlemavu wa akili amesema kuwa anasikitika Sana kuona kwamba jamii yake imemfukuza kwa kupata mtoto mlemavu jambo ambalo limepelekea pia kuvunjika kwa ndoa yake.

  

Latest posts

Wakaazi Wa Bwagamoyo Rabai Walalamikia Mauaji Ya Wazee

Clavery Khonde

Wahudumu Wa Bodaboda Wapinga Kuchangia Ongezeko La Mimba Kwa Wanafunzi

Clavery Khonde

Vijana Wametakiwa Kutosubiri Kupewa Pesa Na Wanasiasa Ili Wajiandikishe Kama Wapiga Kura

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi