Kutua kwa ndege za Kenya nchini Tanzania sasa ni kitendawili.

Tanzania imekaa kimya kuhusu Kenya kuanza tena safari zake za ndege nchini humo ikiwa ni zaidi ya siku 19 baada ya serikali kutangaza kuwa imeafikia makubaliano.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Angani ya humu nchini (KCAA), Gilbert Kibe amesema wanangojea tamko kutoka nchini Tanzania na kuelezea matumaini yake kuwa matokeo yatakuwa mazuri.
Mamlaka ya Usafiri wa Angani ya Tanzania(TCAA) mnamo Julai 30 ilifuta mipango ya kuruhusu ndege za Kenya Airways kutua nchini humo ikidai kutengwa kwa Tanzania kwenye orodha ya nchi ambazo raia wake wangeruhusiwa kuingia Kenya chini ya vikwazo vilivyolegezwa kupambana vya kupambana na virusi vya corona.

  

Latest posts

Tungule Awasuta Viongozi Wanaohubiri Siasa Za Mirengo Ganze

Clavery Khonde

Gavana Kingi Ashutumiwa Kwa Madai ya Usaliti

Ruth Masita

Naibu Gavana wa Mombasa Ataja Uchumi Kuwa Chanzo Cha Wazazi Kushindwa Kulipa Karo

Ruth Masita

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi