Lalama Za Wakulima Wa Mnazi Na Mkorosho Kilifi

Wakaazi wa wadi ya Sabaki eneo bunge la Magarini wanalalamika kupelekewa miche ya minazi na mikorosho ambayo ilikuwa imekaa muda mrefu baada ya kutolewa kwenye taasisi ya utafiti wa kisayansi.

Also Read
Viongozi Vijana Serikalini Washtumu Dhulma Iliyotekelezwa Na Wahudumu Wa Bodaboda

Wakiongozwa na Thomas Kahindi ambaye ni mwenyekiti wa wakulima na ufugaji eneo la Sabaki, miche hiyo haikumea vizuri kutokana na kukosa nguvu ya kustahimili jua kali, huku wakiongeza kuwa miche hiyo inafaa kuwasilishwa kwa wakulima kwa wakati mwafaka.

Also Read
Makali Ya Njaa Yaendelea Kushuhudiwa Kilifi

Wanasema hali hiyo imewapa changamoto wakulima wa mimea hiyo kiuchumi kwani hutegemea mimea hiyo kujipatia mapato.

Also Read
Walanguzi Wa Dawa Za Kulevya Waonywa Kilifi.

Aidha wanasema kukosekana kwa hamasa kwa wakulima hao kutoka kwa maafisa wa nyanjani kumepelekea wakulima wengi kukosa kunufaika na mradi huo.

  

Latest posts

Serikali ya kaunti ya Kilifi yatenga asilimia 15 ya bajeti kwa maendeleo

Joshua Chome

Kalonzo Aikosoa Serikali

Clavery Khonde

Rais Ruto Ateua Jopokazi Litakalo Tathmini Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi